Ntopo Kilebente
Senior Member
- Apr 3, 2021
- 191
- 248
Le Mubebe PleaseeeeeeNdoto sio lazima iwe na ukweli
Mie mara kadhaa huwa naota naacha kuvuta bangi akati kiuhalisia sijawahi hata kuwaza kuacha
Una mhaho au kuna jambo fulani hivi unasitasita kulifanya au kulitolea maamuzi ambalo ni la msingi.. Jambo hilo laweza kuwa la sasa au baadae huko... Jiandae na tafakari vyema hapo kuna mtu anaweza kuja kukutoa nje ya reli ili usitimize jambo lakoNawasalimu kwa mvua.
Nimeona jamaa angu kapost facebook na wengin wakaja na ushuhuda,mimi pia hii hali pia hunitokea.
Hivi kwanini mara nyingi huwa naota niko form six na naogopa sitafaulu mtihani wa taifa na imepita miaka kumi.Wakati mtihani niliufaulu tena kwa pointi za kuwekewa rangi asa sijui ni stress tuu
Le mubebe nipe muda please 😪Le Mubebe Pleaseeeeee
Ota ukiwa unamwaga kojo utaniambia....Ndoto sio lazima iwe na ukweli
Mie mara kadhaa huwa naota naacha kuvuta bangi akati kiuhalisia sijawahi hata kuwaza kuacha
Ukimaliza uniambie Baby, Rehab Center nimeshaandaaLe mubebe nipe muda please 😪
Ndoto sio lazima iwe na ukweli
Mie mara kadhaa huwa naota naacha kuvuta bangi akati kiuhalisia sijawahi hata kuwaza kuacha
Duuuh!!Ndoto sio lazima iwe na ukweli
Mie mara kadhaa huwa naota naacha kuvuta bangi akati kiuhalisia sijawahi hata kuwaza kuacha
NakutaniaUkimaliza uniambie Baby, Rehab Center nimeshaandaa
Sawa mubebeNakutania
Kuna jambo linakuhitaji ulitimize na bado unasuasua...ukishalitimiza tu ndoto zitakata
Bora wewe paper la form 6. Mimi mpaka paper la darasa la saba tena shule ile ile halafu unakuta kuna somo sijasoma kabisa
Yaani mimi mwenyewe huwa naotaga kuwa pepa la necta ya form four imekaribia na sijajiandaa vizuri..na huwa ni ndoto ya kujirudia rudia sana wakati pepa nimelipiga miaka mingi tu iliyopita.
Sijui ni kwa nini hizi ndoto zinatokea hiviYeah! Unakuta labda unapiga pepa afu muda umeisha afu umefanya swali moja.
Au muda wa pepa wewe umechelewa.
Au unafika ndio pepa inaisha
Au unakuta huja cover topic