PumbavuSiku ukiacha kuikashfu Israel hutaota tena hizo ndoto
Usipotubu utaendelea kuota mauza uza tuu
Nimeambiwa hivi na zaidi ya watu watatu kama tafsiri yakeDalili nzuri za kuwa Utapata pesa hivyo endelea kukaza haijalishi magumu kiasi gani unapitia na jinamizi la kukata tamaa linakuzunguka kila kukicha lakini pesa ipo karibu inaweza kuwa ya aina yoyote ile.....
Huo ndiyo ukweliPumbavu
Ndoto hutokea ukiwa umelala hasa usiku kwahiyo asilale atafute hela???Tafuta hela
Kwa hiyo umekuja kutafta faraja??nasema hivi wewe jana ndo ulibebeshwa maiti kutoka kaburini kwenda machinjioniNimeambiwa hivi na zaidi ya watu watatu kama tafsiri yake
Asante sana
ungempa maana ya ndoto yake kwanza alafu ndiyo ungefata na habari za kumpokea yesu.Mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako!