TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
Ila itakuwa pesa kwa njia ya haramu,na mwisho wake Ni mbayaNimeambiwa hivi na zaidi ya watu watatu kama tafsiri yake
Asante sana
Jiwe alishavuta, hiyo kazi ya kuua na kuweka watu kwenye viroba huipati tena.Leo nimeota ndoto kama ifuatavyo.
Nimeota nimebeba maiti ya mtu aliyeuliwa nilikuwa nimebeba kwenye gunia.
Cha ajabu hiyo maiti sijui hata nani alimuua hata huo mwili siijui cha ajabu nilikuwa nabeba nachoka nilikuwa nimeambatana na rafiki yangu lakini cha ajabu rafiki yangu alikua hataki kunisaidia kubeba aliniacha nibebe mwenyewe na kwamba eti nilikua napeleka mahali ukazikwe japo sijui ni maiti ya nani.
Hii ndoto ina maana gani? Huwa sioti ndoto za ajabu ajabu kabisa lakini nimeota hivi.
Tafsiri yake ni kwamba umeikimbia CHADEMA kwa ajili ya kumchukia Mdude kwa sababu za kijinga na umeenda kubeba chama mfu CCM.πππππLeo nimeota ndoto kama ifuatavyo.
Nimeota nimebeba maiti ya mtu aliyeuliwa nilikuwa nimebeba kwenye gunia.
Cha ajabu hiyo maiti sijui hata nani alimuua hata huo mwili siijui cha ajabu nilikuwa nabeba nachoka nilikuwa nimeambatana na rafiki yangu lakini cha ajabu rafiki yangu alikua hataki kunisaidia kubeba aliniacha nibebe mwenyewe na kwamba eti nilikua napeleka mahali ukazikwe japo sijui ni maiti ya nani.
Hii ndoto ina maana gani? Huwa sioti ndoto za ajabu ajabu kabisa lakini nimeota hivi.
ππYaani imebidi nicheke tu na hii ndoto yako. Maana hata ukifikiria imekuajekuaje mpaka ukaota hivyo haiji kichwani kwangu na hivyo nashindwa hata kuchangia zaidi ya kucheka. Ila pole kwa hii ndoto. Uzuri ni ndoto na isikupe mawazo sana. Kazi iendeleeLeo nimeota ndoto kama ifuatavyo.