kuota vijinyama kwenye mwili

kuota vijinyama kwenye mwili

wulasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
260
Reaction score
1,230
kumekuwa na hali ya mtu kuota vijinyama sehemu mbalimbali za mwili, kwa mfano dada zetu wakiota usoni wanaita kidoti! je ukiota sehemu nyingine ya mwili ni nini? je ni ugonjwa? na kama ni ugonjwa dawa yake ni nini? madoctor tafadhali
 
Back
Top Bottom