wulasi JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 260 Reaction score 1,230 Nov 24, 2017 #1 kumekuwa na hali ya mtu kuota vijinyama sehemu mbalimbali za mwili, kwa mfano dada zetu wakiota usoni wanaita kidoti! je ukiota sehemu nyingine ya mwili ni nini? je ni ugonjwa? na kama ni ugonjwa dawa yake ni nini? madoctor tafadhali
kumekuwa na hali ya mtu kuota vijinyama sehemu mbalimbali za mwili, kwa mfano dada zetu wakiota usoni wanaita kidoti! je ukiota sehemu nyingine ya mwili ni nini? je ni ugonjwa? na kama ni ugonjwa dawa yake ni nini? madoctor tafadhali
Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 828 Nov 24, 2017 #2 Picha plz