Sharp lady
Senior Member
- Feb 23, 2011
- 129
- 13
Hi wadau Naombeni ushauri kwa yeyote anafahamu dawa ya kuponyesha vipele vinavyoota chini ya kichwa na kufikia hatua ya kutoa damu na mara nyingine inakuwa vigumu sana hata kuchana nywele. Nina ndugu yangu wa karibu amesumbuliwa na tatizo hili kwa muda sasa. Tadhali naombeni msaada.