Kuota Vipele Vidogo Maeneo Ya Kifuani

Kuota Vipele Vidogo Maeneo Ya Kifuani

Jonash

Senior Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
164
Reaction score
37
Habari
Kuna hali imenianza muda si mrefu sana na inatokana na kutokea kwa vipele vidogo vidogo viiiiingi..hali hii inasababishwa na nini na inaondokanaje..msaada tafadhali
 
Kwa nini usiende kumwona mtaalamu wa magonjwa ya ngozi?

Kupata msaada humu bila hata kutoa picha itakuwa vigumu.

Wewe nenda kwa mtaalamu wa magonjwa ya ngozi, mwonyeshe tatizo lako, na safari ya msaada wako itaanzia hapo.
 
Habari
Kuna hali imenianza muda si mrefu sana na inatokana na kutokea kwa vipele vidogo vidogo viiiiingi..hali hii inasababishwa na nini na inaondokanaje..msaada tafadhali

Usione aibu kutengemaza afya yako
 
Back
Top Bottom