bakar shomar
Member
- Dec 6, 2013
- 53
- 54
Jaman naomba mnisaidie jinsi ya kuotesha nywele za kichwan kwa mtu mwenye uwalaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna set ya hair X huwotesha nywele 0653482355Jaman naomba mnisaidie jinsi ya kuotesha nywele za kichwan kwa mtu mwenye uwalaza
Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. .
Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. .
Alitumia kwa muda gani!?Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. .
Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. .
Sasa ayo maji maji unayapataje mkuuTumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. .
Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. .