Kuotesha nywele za kichwani

bakar shomar

Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
53
Reaction score
54
Jaman naomba mnisaidie jinsi ya kuotesha nywele za kichwan kwa mtu mwenye uwalaza
 
Kubali yaishe kaka .....ingawaje the most successful way ni surgery
 
Kuna dawa/mafuta inaitwa HAIR ILLUSION... Google utaona, "inaotesha" nywele kwenye kipara
 
Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. .

Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. .
 
Alitumia kwa muda gani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…