Mweusi Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 332
- 322
Naomba kujuzwa yanakopatikana Mafuta ya Zaituni.Sio zambi labda unapaka mengi mpaka unanuka nazi,mafuta mazuri yakupaka ni zaituni tu kwawenye tatizo la ngozi
Super market nying yanapatikana mkuuNaomba kujuzwa yanakopatikana Mafuta ya Zaituni.
Tafuta lotion au mafuta ya aina nyingine.
Yakutengeneza mwenyew ni mazuri zaid anaweza akayaweka asmin au vilua karafuu vyovyote upendavyokama katengeneza mwenyew maweeeee iyo harufu yake mhmh
kanunue ya dinamarios nasikia hayana harufu na ni mazuri
ahahaaa eti napakwa mmh ????Lotion napaka asubuhi na mafuta ya Nazi napakwa usiku wakati Wa kulala, nashukuru kwa ushauri wenu.
Mafuta ya nazi ni mazuri,. Mwambie awe anakutengenezea mwenyewe na kuchanganya na baadhi ya vitu. Ili kutoa harufu ya nazi. Mimi huwa natumia. Ni mazuri sana