Kupaka mafuta ya nazi kuna tatizo?

Vitu gani hivyo?
Nauliza sababu mi na familia ni watumiaji wa hayo mafuta.
Ninatengeneza mwenyewe na ninataka nipunguze harufu.
unaweka iliki. na viungo flan hivi nimesahau jina. nikikumbuka ntakuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…