Kupaka moisturiser before going to bed

Kupaka moisturiser before going to bed

Status
Not open for further replies.

suzie _barbie

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Posts
1,523
Reaction score
3,073
Dear warembo wangu,

I hope you all had a great day, If not poleni.

Napenda sana urembo ukiwemo kunukia vizuri, usafi na pia kuwa na muonekano angalau presentable but above all napenda sana urembo wa ngozi.

Hivyo basi, nilitaka kuwakumbusha kupaka moisturiser before going to bed.Masuala ya ngozi inabidi ipumue usiku its a no baby girl lasivyo utaamka ngozi imekakamaa. Moisturiser haikatazi ngozi kupumua usiku zaidi huongezea ngozi unyevu unyevu.

Fall in love with yourself first before others fall in love with you.

Goodnight.Nawapenda
 
Baada ya kupakaa hivyo vitu, na mashuka je? walalie meupe au ya rangi rangi?
Ukipaka moisturiser hushauriwi kwenda kulala moja kwa moja.Unaweza subiri like 20 mins iliingie ndani ya ngozi.

Pia ni vizuri kuchagua moisturiser nzuri ambayo hainati nati .
 
Mfano ipi dada?
 
Mfano ipi dada?
Mimi napendelea hii hapa ya vaseline.
20210606_083519.jpg
 
Safi..mwanamke usafi bwana.mwanamke ni pambo..huwa napishana sana na shemej yenu huwa simuelew..yeye hata akitoka kuoga anapaka mafuta sasa namuuliza ndugu yangu unajiremba hata ukilala

Jibu lake analotoaga ni moja
(niache)

Huku kaubinua mdomo wake...kumbe ndo anapaka hayo madude...hiv unajiskiaje kupaka madude usiku..kusingekua na ubarid artificial sjui kama mtu unaweza kulala umejipaka vtu..sijui kwa wanawake

Ila hayana haruf yoyote hayo madude anapakaga..had uson..kuna siku nkamwambia ndugu yangu au unajikoboa/kujichubua....akasema (niache)

Bas nimeamua kumuacha..sasa leo ndo nmejua kumbe anapaka hayo makituu

Mna kaz nyie watu.....nachekaga tu anavolivua wigi lake nakubak na nywele fupi ajabu...sorry babe nmekunanga huku vbaya mno
 
Mara hamad!! Shemeji kaona, jiandae mzungu wa 4 weeks [emoji23]
 
Hata hayuko huku..hana akili ya kuwepo huku..yeye ni instagrm na takataka zingne sjui snapchat etc...

Siunajua ma slay queen..

Madem smart huwa si date nao...na date na avarage mind ili nimtawale.hahahah
Kwahiyo mimi nimebugi kuchumbia wa humu jf!? [emoji23]
 
Safi..mwanamke usafi bwana.mwanamke ni pambo..huwa napishana sana na shemej yenu huwa simuelew..yeye hata akitoka kuoga anapaka mafuta sasa namuuliza ndugu yangu unajiremba hata ukilala

Jibu lake analotoaga ni moja
(niache)

Huku kaubinua mdomo wake...kumbe ndo anapaka hayo madude...hiv unajiskiaje kupaka madude usiku..kusingekua na ubarid artificial sjui kama mtu unaweza kulala umejipaka vtu..sijui kwa wanawake

Ila hayana haruf yoyote hayo madude anapakaga..had uson..kuna siku nkamwambia ndugu yangu au unajikoboa/kujichubua....akasema (niache)

Bas nimeamua kumuacha..sasa leo ndo nmejua kumbe anapaka hayo makituu

Mna kaz nyie watu.....nachekaga tu anavolivua wigi lake nakubak na nywele fupi ajabu...sorry babe nmekunanga huku vbaya mno
Ngozi inangaa kama anaishi Paris au tofauti?
 
Wanangaa kwel mkuu. Ngoz kama mtoto mdogo..anapaka had unyayo...

Wana ish maisha ya tabu sana hawa watu

Yote hiyo ni ku keep up na dunia ya wanaume na urembo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom