suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
Ukipaka moisturiser hushauriwi kwenda kulala moja kwa moja.Unaweza subiri like 20 mins iliingie ndani ya ngozi.Baada ya kupakaa hivyo vitu, na mashuka je? walalie meupe au ya rangi rangi?
Mfano ipi dada?Ukipaka moisturiser hushauriwi kwenda kulala moja kwa moja.Unaweza subiri like 20 mins iliingie ndani ya ngozi.
Pia ni vizuri kuchagua moisturiser nzuri ambayo hainati nati .
Mimi napendelea hii hapa ya vaseline.Mfano ipi dada?
Mkuu embu tupostie hata mkono tuone ukweli wa unachokizungumza..i.e ngozi inayong'aaMimi napendelea hii hapa ya vaseline.View attachment 1813522
Mkono unapigwa na vumbi mara kwa mara, PAJA [emoji3091] itapendeza [emoji3]Mkuu embu tupostie hata mkono tuone ukweli wa unachokizungumza..i.e ngozi inayong'aa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkono unapigwa na vumbi mara kwa mara, PAJA [emoji3091] itapendeza [emoji3]
Mara hamad!! Shemeji kaona, jiandae mzungu wa 4 weeks [emoji23]Safi..mwanamke usafi bwana.mwanamke ni pambo..huwa napishana sana na shemej yenu huwa simuelew..yeye hata akitoka kuoga anapaka mafuta sasa namuuliza ndugu yangu unajiremba hata ukilala
Jibu lake analotoaga ni moja
(niache)
Huku kaubinua mdomo wake...kumbe ndo anapaka hayo madude...hiv unajiskiaje kupaka madude usiku..kusingekua na ubarid artificial sjui kama mtu unaweza kulala umejipaka vtu..sijui kwa wanawake
Ila hayana haruf yoyote hayo madude anapakaga..had uson..kuna siku nkamwambia ndugu yangu au unajikoboa/kujichubua....akasema (niache)
Bas nimeamua kumuacha..sasa leo ndo nmejua kumbe anapaka hayo makituu
Mna kaz nyie watu.....nachekaga tu anavolivua wigi lake nakubak na nywele fupi ajabu...sorry babe nmekunanga huku vbaya mno
Hata hayuko huku..hana akili ya kuwepo huku..yeye ni instagrm na takataka zingne sjui snapchat etc...Mara hamad!! Shemeji kaona, jiandae mzungu wa 4 weeks [emoji23]
Kwahiyo mimi nimebugi kuchumbia wa humu jf!? [emoji23]Hata hayuko huku..hana akili ya kuwepo huku..yeye ni instagrm na takataka zingne sjui snapchat etc...
Siunajua ma slay queen..
Madem smart huwa si date nao...na date na avarage mind ili nimtawale.hahahah
Naunga mkono hoja..Mkono unapigwa na vumbi mara kwa mara, PAJA [emoji3091] itapendeza [emoji3]
Ngozi inangaa kama anaishi Paris au tofauti?Safi..mwanamke usafi bwana.mwanamke ni pambo..huwa napishana sana na shemej yenu huwa simuelew..yeye hata akitoka kuoga anapaka mafuta sasa namuuliza ndugu yangu unajiremba hata ukilala
Jibu lake analotoaga ni moja
(niache)
Huku kaubinua mdomo wake...kumbe ndo anapaka hayo madude...hiv unajiskiaje kupaka madude usiku..kusingekua na ubarid artificial sjui kama mtu unaweza kulala umejipaka vtu..sijui kwa wanawake
Ila hayana haruf yoyote hayo madude anapakaga..had uson..kuna siku nkamwambia ndugu yangu au unajikoboa/kujichubua....akasema (niache)
Bas nimeamua kumuacha..sasa leo ndo nmejua kumbe anapaka hayo makituu
Mna kaz nyie watu.....nachekaga tu anavolivua wigi lake nakubak na nywele fupi ajabu...sorry babe nmekunanga huku vbaya mno
ππππ Madem smart wana stress sana.Hata hayuko huku..hana akili ya kuwepo huku..yeye ni instagrm na takataka zingne sjui snapchat etc...
Siunajua ma slay queen..
Madem smart huwa si date nao...na date na avarage mind ili nimtawale.hahahah
Watakusumbua hawa..wana waA sanaaKwahiyo mimi nimebugi kuchumbia wa humu jf!? [emoji23]
Hii picha Ni ya usiku huhu sioMimi napendelea hii hapa ya vaseline.View attachment 1813522
Wanangaa kwel mkuu. Ngoz kama mtoto mdogo..anapaka had unyayo...Ngozi inangaa kama anaishi Paris au tofauti?