Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hbr za leo kaka,Naomba kujua makadilio ya gharama za kurudia rangi kwa gari Nissan Safari.
Gari hizi nissan safari/patrol huwa zinachakaa kipaa cha juu cha gari.
Muwe mnasema mko mkoa gani? Tanzania kubwa mkuu...Hbr za leo kaka,
Kwa kweli gharama zategemea mambo kadhaa kama quality ya rangi, kasoro na dents zilioko kwenye gari, mda na kadhalika.
Kwa maelezo kamilifu naomba tuwasiliane kw inbox. Hizi ni picha za gari tunalolipaka rangi sasa.View attachment 586553View attachment 586555View attachment 586556
Sent using Jamii Forums mobile app
Morogoro mjini sehemu gani?Nisamehe kw hilo; karakana tumefungua Morogoro mjini ila kazi twaeza fata zilipo kwa mapatano na maandalizi maalum
Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo ya Komoa, ila kw sasa niko kazi nje ya mji. Tumefungua majuzi tu.Morogoro mjini sehemu gani?
Hbr za leo kaka,