Kupaka rangi upya gari hii bei gani

mwakifamba

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
48
Reaction score
15
Habari

kwa mafundi, kupaka upya rangi gari km hii hapa kwa dar inaweza kuwa bei gani. nataka iwe black metallic. Haina mikwaruzo kivile cha muhimu rangi bei yake inaweza kuwa bei gani

Itakuwa vzr nikipata jibu kwa watu wanaojua sio mtu tu ku gesi na kujibu.

 
Gari gani?

Runx ilipakwa Mil 1,2 kwa Mchina. Mwaka jana.

Unaweza pata sehemu ata Laki 6 na unaweza kwenda sehemu wakakuambia ata Mil 3.
 
UN wamekuuzia huyo mnyama kwa sh. Ngapi mkuu?
dodge
 
Sawa mkuu,all the best mnyama ametulia huyo.
Hiyo ni picha ya mfano tu nimeweka. Sema ndio nafukuzia unhcr huwa wanakiwag na minada nasikia bei zao huwa sio mbaya sema sijajua bado ni sh ngapi.

dodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…