Kupakua Move na Content mbalimbali kupitia TELEGRAM

Kupakua Move na Content mbalimbali kupitia TELEGRAM

Bull Striker

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
456
Reaction score
1,003
Wakuu naomba kujuzwa namna Bora ama mbinu wezeshi Kwa ajili ya kuipata Move katika Telegram App.

Maana Telegram ni mtandao mpana.So hata ikibidi tupeane ma ujuzi.
Na wasilisha Kwa hatua.
 
Ingia telegram halafu search magrupu yenye majina haya Kevin Hart, The Rock, Jason Statham halafu join, kisha andika jina la movie uitakayo utapewa na kuidownload.

Ukishindwa, njoo useme kilichokushinda
 
Kwanza kabisa kama uko serious na ku download movies au vitu vikubwa tumia Telegram X, ina speed sana kuliko Telegram ile ya kawaida japokua UI yake sio rafiki sana, tofauti na hapo lipia premium.

Upande wa Movies tumia hiyo channel hapa chini
 
Mbona Kuna movie nimepakua kutoka Telegram lakini sioni kwenye mafaili ya simu huku inakuwaje inakuwaje, lakini ukienda Telegram unaziona na zinacheza kabisa, msaada hapo sajo
 
Back
Top Bottom