KUPAMBANA NA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
Kumekuwa na ongezeko kubwa la ongezeko la vijana kukosa ajira nchini hiyo imepelekea kundi la utegemezi kuwa kubwa nchi, ongezeko la uharifu na kupungua motisha kwa vijana wanaosoma kuendelea na elimu. tatizo likiongezeka linaweza kuleta madhara makubwa nchini, tatizo linaweza kupunguzwa kupitia kuchukua hatua zifuatazo.
Kuongeza kipato cha wafanyabiashara wadogo ambao ndio asilimia kubwa ya vijana wapo huko kupitia kuongezeka kwa mabenki yanayo walenga mmoja kwa mmoja kama (DCB) Dar es salaam Commercial Bank ambayo ahijatapaka sana nchini na huduma yake aijawafikia vijana wengi dar es salaam na nchi nzima kwa ujumla kupunguza riba au kutengeneza mfumo wa pamoja wa sheria kuongoza utoaji mikopo kwa taasisi binafsi zenye kukopesha wafanyabiashara wadogo wadogo kwa sababu kumekuwa na ada nyingi sana kwenye taasisi hizi na riba kubwa zinazolipwa kwenye mikopo midogo wanaopewa wanakikundi pamoja na masharti magumu kuundwa kwa mfumo wa sharia za kuongoza taaasisi hizi ztasaidia sana vijana, kwa sababu ndio tegemeo kuu lilobaki kwa vijana kwa sasa.
Serikali Kuweka kima cha chini cha mshahara kwa taasisi binafsi kutokana na tatizo la ajira kumeibuka taasisi binafsi zinazo lipa mshara mdogo sana chini ya kima cha chini cha mshahara wa serikalini kwa vijana wenye shahada na stashada kupelekea kushindwa kuhimili gharama za maisha na kuendelea kuwa tegemezi na kuto kuwepo maana halisi ya ajira, kutokuwalipa hela itakayoshindwa kuwafanya vijana kuhimili gharama ya maisha inapelekea uchumi wa nchi yetu chini na kupunguza thamani ya elimu kwa vijana na wazazi waliowekeza elimu hiyo kwa vijana wao na kutegemea makubwa kutoka kwao serikali inatakiwa isi fumbie macho swala hili ata kidogo ili uchumi wan chi yetu hukuwe na vijana wawe na matumaini na kesho yao
Kutoa hamasa kwa vijana kujiajiri kwenye kilimo na ufugaji kwa kunda makundi mbali mbali ya vijana kulima mazao ya biashara na kuongeza soko la bidhaa zao kwa kupunguza kodi kwa wanunuzi wa bidhaa za kilimo hasa wanunuzi wakubwa hii itapelekea nafuu ya ajira kwa vijana na kuunda mamlaka za kusimamia makampuni hayo hii kuwa na vikundi vingi vya mifano ambavyo vitakuwa vimendelea kwenye kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wan chi yetu utapelekea matumaini ya vijana kwa serikali yao na kuweza kuibua mambo makubwa kupitia sekta ya kilimo na ufugaji na kuweza kujiajiri na kuinua uchumi wan chi yetu.
Kutoa elimu ya ujasilliamali kwa vijana kwenye mitala yetu hakuna elimu ya ujasiliamali hasa chini kwenye elimu ya sekondari hii imepeleka vijana wengi kutokuwa na elimu ya kujiajiri na jinsi ya kupata mikopo itakayowawezesha kujiajiri na kuodokana na janga la ajira kwa vijana vile vile kufundishwa kwa somo la stadi za kazi ambalo alifundishwi kwenye shule nyingi za msingi nchini kwa kukosa walimu wake wangeajiri walimu watakaoweza kufundisha somo la ujasiliamali kwa sekondari na vyuoni vile vile somo la stadi za kazi kwa shule za msingi nchini kwa shule zote hii vile vile itasaidia vijana kupambana na tatizo la ajira nchini wanapomaliza masomo yao iwe shule ya msingi, shule ya sekondari au chuo kikuu hii itapelekea uchumi wa nchi yetu kukua na tatizo la ajira kupungua kwa kiasi kikubwa nchini kwetu na vijana kuwa na elimu ya kutosha na kutengeneza bidhaa zenye ubora .
Kuwa na uwazi kwenye utoaji mikopo ya Halmashauri ikiwezekana kutengenezwe muundo wa kieletronic wenye kuonesha takwimu kwa uwazi vikundi vinavyomba mikopo hiyo, vikundi vinavyokosa na sababu ya kukosa mikopo hiyo kwa sababu vijana wengi wanazungushwa na kukata tama wanapoenda kuomba mikopo hiyo kutokana na urasimu wa baadhi ya wafanyakazi kutokuwa waadilifu hii imepelekea vijana wengi kukosa fursa ya kujiajiri, kundwa kwa uwazi huo ambao taarifa zake au taakwimu zake zitakuwa za uwazi kwa vijana na watanzania wote kwa njia ya elektroniki ambazo zitapatikana kwenye simu janja na komputa kwa ujumla utawawezesha vijana wengi kuwa na elimu ya mikopo hiyo na kutoa sababu ya vijana kukosa mikopo hiyo kwa uwazi utarudisha imani kwa wananchi kuwa mikopo ya halmashauri ya kusaidia makundi maalumu vijana, wanawake na walemavu yanatolewa kwa haki na usawa vile vile uelewa wa vijana kuhusu mikopo hiyo utapelekea maendendeleo kwa wananchi wa Tanzania.
Kuchochea wafanyabiashara wakubwa kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji na kupata bidhaa hiliyo bora kushindana kwenye soko la kimataifa hasa na bidhaa zinazozalishwa nan chi zilizo endelea kwenye sekta ya kilimo na ufugaji, Serikali ikitoa elimu na mfumo rafiki wa wawekezaji wakubwa kuwekeza kwenye kilimo kitapunguza tatizo la ajira kwa sababu watawekeza kwenye eneo kubwa la ardhi watakuwa na machine kubwa na kuongeza thamani kwa mazao yanayotokana na kilomo au nyama inayotokana na ufugaji hii itapelekea mazao na nyama inayozalishwa nchini kuweza kushindana na ubora na bidhaa kutoka nchi nyingine hasa zile zilizoendelea ambazo zinazalisha bidhaa zenye ubora sana na watajiri vijana wengi kwenye sekta hiyo, nchi nyingi zilizoendelea kilimo na ufugaji kinafanywa na wawekezaji wakubwa hii itapelekea maendeleo makubwa kwa nchi yetu na kuongeza ajira kwa vijana .
Kwa kumalizia Tanzania ni nchi yenye eneo kubwa na fursa nyingi mfumo mzuri utasaidia kuondoa tatizo hili la ajira kwa vijana wa tanzania

Upvote
3