Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana kwa namna Kenya ilivyo corrupted hili tukio ndio kwaanza linatokea kwa mara ya kwanza nchini lakini kikubwa ni kwa nini Rais ashiriki kwenye tukio la kawaida kama hilo?
Inaonekana kwa namna Kenya ilivyo corrupted hili tukio ndio kwaanza linatokea kwa mara ya kwanza nchini lakini kikubwa ni kwa nini Rais ashiriki kwenye tukio la kawaida kama hilo?
Tanzania hizo kazi wanafanya wafanyakazi wa kawaida especially competitive committees na ni suala common sana Tanzania from very long time to destroy illegal and fake products to the extent of having the special site particularly for that job
Electronics, machinery, agrovet, drugs, cosmetics, chemicals, foods, na fake products zozote TBS, TFDA, na bodies nyingine zinaziteketeza in a regular basisKha sasa unatuletea taarifa za kuhusu uharibifu wa miswaki, kawaida Kenya bidhaa bandia huteketezwa, ila hii mada inazungumzia uharibifu wa magari yasiyokidhi viwango.
Kwa nchi maskini kama nyie hili hamliwezi, hata kwa viongozi wenu wale wapenda show za makontena.
Electronics, machinery, agrovet, drugs, cosmetics, chemicals, foods, na fake products zozote TBS, TFDA, na bodies nyingine zinaziteketeza in a regular basis
Wewe umeona kwenye akili yako gari ndio kitu babukubwa sana according to your cheap mindset? Gari ni takataka kama zilivyo takataka nyingine tena Tanzania laws zinasema any motor vehicle with long mileage should be highly taxed and a certain mileage point is prohibited sababu tunataka new cars hii sio dumpster kama Kenya inapokea takataka za aina zote.
Ni kitendo cha kustaajabisha a petty issue like this to handled by the entire government mpaka Rais which in Tanzania is exercised without even media.
😁 😁 😁 😁 hivi we jamaa unamiliki gari kweli?Tuletee taarifa za picha mkibomoa magari wacha stori za kuambiwa.....nyie makontena ya dawati za shule imebidi nchi yote mumeganda mnaizungumzia utadhani mumeshinda kombe la dunia, hadi rais ameburuzwa humo na baraza la mawaziri na wakuu wa mikoa, umaskini ni laana.
Hii yetu hapa
![]()
Scraps from a junkyard, what moved me most was the fact that sugar, rice and other foodstuffs were mixed with coal " to support combustion" apparently. What a load of crap! What brand of automobiles were destroyed? Where did they come from?Tuletee taarifa za picha mkibomoa magari wacha stori za kuambiwa.....nyie makontena ya dawati za shule imebidi nchi yote mumeganda mnaizungumzia utadhani mumeshinda kombe la dunia, hadi rais ameburuzwa humo na baraza la mawaziri na wakuu wa mikoa, umaskini ni laana.
Hii yetu hapa
![]()
Inaonekana kwa namna Kenya ilivyo corrupted hili tukio ndio kwaanza linatokea kwa mara ya kwanza nchini lakini kikubwa ni kwa nini Rais ashiriki kwenye tukio la kawaida kama hilo?
Tanzania hizo kazi wanafanya wafanyakazi wa kawaida especially competitive committees na ni suala common sana Tanzania from very long time to destroy illegal and fake products to the extent of having the special site particularly for that job
😁 😁 😁 😁 hivi we jamaa unamiliki gari kweli?
Mbona gari inakupa mushawasha hivi 😂 😂 😂 😂 dah hii ni hatari
Kwahiyo kisa ni gari ndio maana Rais kaenda? Mbona hapo kulikuwa na utekeketezaji mpaka wa viberiti au nikuletee ushahidi kwenye Twitter ya Rais wako?
Ni aibu kubwa eti mpaka Rais anatweet duniani ameteketeza viberiti
Tanzania hii kitu ni common from my young age naonaga kwenye TV 📺
Hii Kenya ni for the very first time ⌚
It was staged, this happened just before his Excellency went to China. My guess is he wanted to have something in case another Hardtalk was to happen. Remember how he struggled with Hardtalk? Saying corruption is a giant beast and a dragon? He didn't have anything to show for it. Now they took scraps from the junkyard and " imaginary foodstuffs mixed with coal to support combustion " and lit them up. So fake.😁 😁 😁 😁 hivi we jamaa unamiliki gari kweli?
Mbona gari inakupa mushawasha hivi 😂 😂 😂 😂 dah hii ni hatari
Kwahiyo kisa ni gari ndio maana Rais kaenda? Mbona hapo kulikuwa na utekeketezaji mpaka wa viberiti au nikuletee ushahidi kwenye Twitter ya Rais wako?
Ni aibu kubwa eti mpaka Rais anatweet duniani ameteketeza viberiti
Tanzania hii kitu ni common from my young age naonaga kwenye TV 📺
Hii Kenya ni for the very first time ⌚
On a Facebook post the President is said to have witnessed the destruction of contraband, counterfeit, and illicit products worth 1.5 billion shillings.
Also before the destruction of said " 1.5 billion shs contrabands" the President said "he will neither be scared, threatened or side-tracked in his current determination to rid the country of corruption and economic crimes" . Now for a president to hint that he won't be scared employs a huge deal as to what kind of a person he is. A serious leader will never even have a thought of saying such words. Why would the President think of being threatened? Who will threaten him? I
Tukiachana na him being scared and threatened here is what the post read again "...The foodstuff included 124 bags of sugar in 50 kg bags, 188 bags of rice in 25 kg bags, cooking oil and assorted juices.
To ensure that the items were completely destroyed, the sugar and rice were mixed with coal to facilitate combustion " seriously? Mixing with coal? Are kenyans this gullible? was there even any foodstuff in the first place?
Is he still doing PR?
And just throwing this out there, the president's views on corruption in Hardtalk is just daebak " .. a giant beast... slay this dragon " like corruption is a mythical thing.
Here is the post
Kuna watu wana akili ndogo sana usipoteze nguvu, mwaka kaja walikuwa wanasema Uhuru hawezi kupambana na rushwa kwasababu katiba haimpi madaraka, leo anavunja mali, za watu bila hata kibali cha mahakama na yeye mwenyewe alisema "I shall fight corruption through Magufuli way", the same same people wanajaribu kujilinganisha na Magufuli. Hawatoweza watabaki kuiga tu.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] hivi we jamaa unamiliki gari kweli?
Mbona gari inakupa mushawasha hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah hii ni hatari
Kwahiyo kisa ni gari ndio maana Rais kaenda? Mbona hapo kulikuwa na utekeketezaji mpaka wa viberiti au nikuletee ushahidi kwenye Twitter ya Rais wako?
Ni aibu kubwa eti mpaka Rais anatweet duniani ameteketeza viberiti
Tanzania hii kitu ni common from my young age naonaga kwenye TV [emoji342]
Hii Kenya ni for the very first time [emoji355]
Wewe nawe....
Mimi hapa nimeleta mambo ya uharibifu ya maghari kadhaa; tena za kifahari. Sio maelectronics na miswaki na sigara na sabuni.....etc. Hayo ni mambo ya kawaida kabisa hapa Kenya.
Hiyo nchi yenyu ldc ambako umiliki wa magari ni kati ya yaliyo chini zaidi duniani (7 vehicles per 1000persons, like seriously?) mtawezaji kuafford kubomoa magari kama range rovers?
Oh, na umeona pia jinsi huyu jamaa machachari Uhuru Kenyatta anavyobomoa majengo.....tena za kifahari yaliyojengwa kishaghala baghala mijini? Huyo "bulldozer" wenyu kweli anawezana na hili?
Huko sasa ndiko kupambana na ufisadi in grand scale.
ligi yenu hii hapa😁 😁 😁 hayo magofu ndio nyumba za kifahari?
FYI Tanzania tumepiga nyundo hizi nyumba View attachment 855369View attachment 855370View attachment 855371
Na level yenu ni [emoji116]ligi yenu hii hapa
View attachment 855375
I said this before, you can't fight corruption with a corrupt man at the helm.It was staged, this happened just before his Excellency went to China. My guess is he wanted to have something in case another Hardtalk was to happen. Remember how he struggled with Hardtalk? Saying corruption is a giant beast and a dragon? He didn't have anything to show for it. Now they took scraps from the junkyard and " imaginary foodstuffs mixed with coal to support combustion " and lit them up. So fake.