Kupambana na ufisadi: hii hata Magufuli hawesmake....

Inaonekana kwa namna Kenya ilivyo corrupted hili tukio ndio kwaanza linatokea kwa mara ya kwanza nchini lakini kikubwa ni kwa nini Rais ashiriki kwenye tukio la kawaida kama hilo?

Tanzania hizo kazi wanafanya wafanyakazi wa kawaida especially competitive committees na ni suala common sana Tanzania from very long time to destroy illegal and fake products to the extent of having the special site particularly for that job

 

Kha sasa unatuletea taarifa za kuhusu uharibifu wa miswaki, kawaida Kenya bidhaa bandia huteketezwa, ila hii mada inazungumzia uharibifu wa magari yasiyokidhi viwango.
Kwa nchi maskini kama nyie hili hamliwezi, hata kwa viongozi wenu wale wapenda show za makontena.
 
Electronics, machinery, agrovet, drugs, cosmetics, chemicals, foods, na fake products zozote TBS, TFDA, na bodies nyingine zinaziteketeza in a regular basis

Wewe umeona kwenye akili yako gari ndio kitu babukubwa sana according to your cheap mindset? Gari ni takataka kama zilivyo takataka nyingine tena Tanzania laws zinasema any motor vehicle with long mileage should be highly taxed and a certain mileage point is prohibited sababu tunataka new cars hii sio dumpster kama Kenya inapokea takataka za aina zote.

Ni kitendo cha kustaajabisha a petty issue like this to handled by the entire government mpaka Rais which in Tanzania is exercised without even media.
 

Tuletee taarifa za picha mkibomoa magari wacha stori za kuambiwa.....nyie makontena ya dawati za shule imebidi nchi yote mumeganda mnaizungumzia utadhani mumeshinda kombe la dunia, hadi rais ameburuzwa humo na baraza la mawaziri na wakuu wa mikoa, umaskini ni laana.

Hii yetu hapa
 
😁 😁 😁 😁 hivi we jamaa unamiliki gari kweli?

Mbona gari inakupa mushawasha hivi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ dah hii ni hatari

Kwahiyo kisa ni gari ndio maana Rais kaenda? Mbona hapo kulikuwa na utekeketezaji mpaka wa viberiti au nikuletee ushahidi kwenye Twitter ya Rais wako?

Ni aibu kubwa eti mpaka Rais anatweet duniani ameteketeza viberiti

Tanzania hii kitu ni common from my young age naonaga kwenye TV πŸ“Ί


Hii Kenya ni for the very first time ⌚
 
Scraps from a junkyard, what moved me most was the fact that sugar, rice and other foodstuffs were mixed with coal " to support combustion" apparently. What a load of crap! What brand of automobiles were destroyed? Where did they come from?
TRA torched products from Kenya, FROM KENYA FROM KENYA, and everyone knew they were from Kenya.
Iulizeni serikali, whose products were those? And where are they from?
 
Juzi wamekamata counterfeit sugar toka Uganda! Kichekesho ch Mwaka as how did that sugar from Brazil get to Uganda a landlocked country in the first place? I love the fact Ugandans r now exporting the same sugar to Kenya after repackaging. This is after JPM blocked the same sugar entering Tanzania! The Somalians r killing Kenyans in their kitchens too.

Kenyan police seize contraband sugar
 
Wewe nawe....

Mimi hapa nimeleta mambo ya uharibifu ya maghari kadhaa; tena za kifahari. Sio maelectronics na miswaki na sigara na sabuni.....etc. Hayo ni mambo ya kawaida kabisa hapa Kenya.

Hiyo nchi yenyu ldc ambako umiliki wa magari ni kati ya yaliyo chini zaidi duniani (7 vehicles per 1000persons, like seriously?) mtawezaji kuafford kubomoa magari kama range rovers?

Oh, na umeona pia jinsi huyu jamaa machachari Uhuru Kenyatta anavyobomoa majengo.....tena za kifahari yaliyojengwa kishaghala baghala mijini? Huyo "bulldozer" wenyu kweli anawezana na hili?


Huko sasa ndiko kupambana na ufisadi in grand scale.
 

Nimekuambia leta picha hata moja mkiponda magari, mengine yote ni hadithi. Nchi maskini kama nyie hamna jeuri hiyo.
 
It was staged, this happened just before his Excellency went to China. My guess is he wanted to have something in case another Hardtalk was to happen. Remember how he struggled with Hardtalk? Saying corruption is a giant beast and a dragon? He didn't have anything to show for it. Now they took scraps from the junkyard and " imaginary foodstuffs mixed with coal to support combustion " and lit them up. So fake.
 
Kuna watu wana akili ndogo sana usipoteze nguvu, mwaka kaja walikuwa wanasema Uhuru hawezi kupambana na rushwa kwasababu katiba haimpi madaraka, leo anavunja mali, za watu bila hata kibali cha mahakama na yeye mwenyewe alisema "I shall fight corruption through Magufuli way", the same same people wanajaribu kujilinganisha na Magufuli. Hawatoweza watabaki kuiga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁 😁 😁 hayo magofu ndio nyumba za kifahari?

FYI Tanzania tumepiga nyundo hizi nyumba
 
I said this before, you can't fight corruption with a corrupt man at the helm.
 
Kumbe watz pia wanaelewa hiyo lugha ya hawesmake? Wengi wao wameambulia patupu lakini siunaelewa tu longolongo za wabongo. Kila mtu ni mjuaji flani. Sawa tu. 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…