Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi

Hueleweki
Tumekuambia kuwa ujilinde dhidi ya uhalifu unaofanywa na vyombo vya dola kwa amri ya ccm. Tutajilinda na siku wakinikuta naondoka na mmoja wao. Watachagua kunitupa porini au kumtupa boya mwenzao porini lakini sitakubali kufa kiboya.
Nitahakikisha Namtoa utumbo kabla sijauwawa.
 
Ngoja ninunue filimbi
 

Kwa hiyo rasmi sasa biashara ya filimbi imepata promo
 
Sio kuwakoa tu na kuwauwa watekaji
 
Pension ipi unamaanisha?
 
imani potofu na ushirikina ni kitu mbaya sana aise,
lakini unywaji visungura, ubwiaji na uvutaji madawa ya kulevya kunaharibu fikra na mawazo ya vijana...

sasa hilo ni pepo la mauti linakufanya ujiandae kujiangamiza mwenyewe kwa kukata tamaa...

kwa aina hiyo ya mihemko unaweza kuangamia hata kwa mafu tu wewe, maana hujiamini na kabisaa umeniakatia tamaa kabisaa kizembe dah!🐒
 
Kwa hiyo mkuu unasisitiza kila kaya iwe na firimbi zisizooungua 3.
 
Wazo zuri. Ila filimbi utaiweka wapi ambapo utaweza kupiga kwa haraka?

Maana wakikuvamia unaweza usipate hiyo nafasi.
 
Kuna wake waizi wa watoto wadogo na Hawa waizi wa watoto wakubwa wote niwaizi

Na Wana paswa kuitwa waizi nakuitiwa ngolo za waizi Kama waizi wengine

Hakikisha shingoni kwako usikose firimbi
 
Kuna wake waizi wa watoto wadogo na Hawa waizi wa watoto wakubwa wote niwaizi

Na Wana paswa kuitwa waizi nakuitiwa ngolo za waizi Kama waizi wengine

Hakikisha shingoni kwako usikose firimbi
 
Kiboboso,mfano madakitari na walimu.
Mshahara wa kwanza tu wanakatwa 5% na muajiri 15% =20% inapelekwa mfuko wa jamii kama mafao ya baadae ukistaafu.
Kwa upande wao Hadi afikishe miaka 12 kazini ndo apate 20% kwenye mifuko ya jamii kama mafao mda akistaafu.
At the enanastaafu na milioni 30 ama 40.
 
 
Unataka kukusanya inzi, hao inzi wanagoma kukusanyika!
 
Mpango ni kujilinda tu.
 
Safi sana, swali je jamii yetu inajua maana ya filimbi nadhani itisheni vikao vya mtaa tengenezeni codes zenu, (Silent language), lugha kimya, mkifanya hivyo hao wasiojulikana watajulikana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…