Kupanda kwa bei ya Chapati

Kupanda kwa bei ya Chapati

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
20220330_193730.jpg
 
Ipo hivi, makampuni meengi ya kutengeneza ngano hapa tz wananunua ngano ya kichele kutoka nchi hizo zenye vita kwa hiyo kwa sasa kuna changamoto ya upatikanaji na usafilishaji hii imepelekea ngano kupanda bei, na kuapandisha ngano bei kumesababisha wateja wapungue, hii imepelekea kampuni kupunguza uzalishaji na hii ikapelekea wale vibarua wanaolipwa kwa day wakose kazi kwa sababu unga umejaa stoo na wateja hawaagizi unajua ukiongeza sh 2000 kwenye kiloba cha kilo 25 yule anaechukua mzigo kama tan 30 sawa na viloba 1200 vya kilo 25 anatakiwa aongeze sh 2,400,000 kutoka awali . Na cc tuanze kulima ngano sasa
 
Mama kahalalisha kupanda bei hata kwa bidhaa zisizohusiana na kupanda kwa bei kwa mafuta
 
Ipo hivi, makampuni meengi ya kutengeneza ngano hapa tz wananunua ngano ya kichele kutoka nchi hizo zenye vita kwa hiyo kwa sasa kuna changamoto ya upatikanaji na usafilishaji hii imepelekea ngano kupanda bei, na kuapandisha ngano bei kumesababisha wateja wapungue, hii imepelekea kampuni kupunguza uzalishaji na hii ikapelekea wale vibarua wanaolipwa kwa day wakose kazi kwa sababu unga umejaa stoo na wateja hawaagizi unajua ukiongeza sh 2000 kwenye kiloba cha kilo 25 yule anaechukua mzigo kama tan 30 sawa na viloba 1200 vya kilo 25 anatakiwa aongeze sh 2,400,000 kutoka awali . Na cc tuanze kulima ngano sasa
Mrusi lazma awashike makende round hii😅 maana naskia nae ni top producer wa Ngano pia
 
Mafuta Jamani
Mimi mwenyewe naanza kuuza maandazi tsh 200 kwakweli
Ukianza kuuza vitumbua nishtue! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Ipo hivi, makampuni meengi ya kutengeneza ngano hapa tz wananunua ngano ya kichele kutoka nchi hizo zenye vita kwa hiyo kwa sasa kuna changamoto ya upatikanaji na usafilishaji hii imepelekea ngano kupanda bei, na kuapandisha ngano bei kumesababisha wateja wapungue, hii imepelekea kampuni kupunguza uzalishaji na hii ikapelekea wale vibarua wanaolipwa kwa day wakose kazi kwa sababu unga umejaa stoo na wateja hawaagizi unajua ukiongeza sh 2000 kwenye kiloba cha kilo 25 yule anaechukua mzigo kama tan 30 sawa na viloba 1200 vya kilo 25 anatakiwa aongeze sh 2,400,000 kutoka awali . Na cc tuanze kulima ngano sasa
Nchi hii ngano imepanda kabla hata putin hajakinukisha
 
Hata zikipanda hatuta acha kula chai chapati mbili
 
Back
Top Bottom