Wanapenda shujaa msahaurifuHiyo hiyo mbele kwa mbele
Ina mjali mkulima bwenyenye ccm,ila mlala hoi ccm na wengine wanasema wapambane na hali zao sio,🤔Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima kupanda na kusababibisha madhara hasi kwa bei ya walaji.
Hii ni hatua nzuri sasa wakulima wanafaidi jasho lao. Ambaye hayuko tayari kununua sembe kwa bei ya juu alime mahindi yake.
ASANTE CCM
Wewe tuite wajinga wewe mpiga dili ila wakulima wanapata bei nzuri ya mazao yao