Bei ya sukari imepaa kutoka wastani wa shs 3000 kwa kilo kufikia elfu tano baadhi ya mikoa ya pembeni.
Kila ikifika wakati wa viwanda vya ndani kusimamisha uzalishaji hali hii hujirudia na si bahati mbaya.
Jambo hili linanikumbusha Luhaga Mpina alipo simama kidete kuhusu kampuni ya vocha kupewa tenda kuagiza cheap sukari toka Brazil na ikamtokea puani.
Kampuni hiyo ya vocha ilihusishwa na mke mdogo wa mtoto wa mtu mkubwq nchini, je tunashuhudia marudio.
Ukishakua Waziri Mkuu sahau kua rais labda uwe rais wa mawe ni system ipo hivyo sio mimi labda uue nchi nzima ndio ujipachike ufalme sio urais, imfikie Madilu popote alipo
Taja majina huna la kufichaBei ya sukari imepaa kutoka wastani wa shs 3000 kwa kilo kufikia elfu tano baadhi ya mikoa ya pembeni. Kila ikifika wakati wa viwanda vya ndani kusimamisha uzalishaji hali hii hujirudia na si bahati mbaya.
Jambo hili linanikumbusha Luhaga Mpina aliposimama kidete kuhusu kampuni ya vocha kupewa tenda kuagiza cheap sukari toka Brazil na ikamtokea puani.
Kampuni hiyo ya vocha ilihusishwa na mke mdogo wa mtoto wa mtu mkubwq nchini, je tunashuhudia marudio.
Erythrocyte msidharau kitu chochote. Zile ofisi za chadema zilizovunjwa na kuiba sare zinaweza kutumika kwa mpango huu. Lifanyie kazi please
Yaani hadi MO kaingia kwenye Sukari basi jua hapoo kuna upigaji maana MO janja janja "NI NTU YA DILI".Bei ya sukari imepaa kutoka wastani wa shs 3000 kwa kilo kufikia elfu tano baadhi ya mikoa ya pembeni. Kila ikifika wakati wa viwanda vya ndani kusimamisha uzalishaji hali hii hujirudia na si bahati mbaya.
Jambo hili linanikumbusha Luhaga Mpina aliposimama kidete kuhusu kampuni ya vocha kupewa tenda kuagiza cheap sukari toka Brazil na ikamtokea puani.
Kampuni hiyo ya vocha ilihusishwa na mke mdogo wa mtoto wa mtu mkubwq nchini, je tunashuhudia marudio.
Madilu System na ndoto zake za alinacha za kuwa Raisi😂 Labda Raisi wa Mawe!Ukishakua Waziri Mkuu sahau kua rais labda uwe rais wa mawe ni system ipo hivyo sio mimi labda uue nchi nzima ndio ujipachike ufalme sio urais, imfikie Madilu popote alipo