Habari.
Hapa mkoani Mbeya bei za piki piki zimepanda kidogo, mfano Sanlg ilikuwa inauzwa mil.1.7-8 Leo inauzwa mil. 2. Boxer ya mil. 2 sasa inauzwa mil. 2.25.
Napenda kujua the motive behind kwenye hizi bei, je Ni mahitaji ya hizi bidhaa kuongezeka au Ni kupungua kwa hizi bidhaa sokoni au ubora wa bidhaa hizi ndio umepandisha bei au Ni kupanda kwa gharama za maisha?