Kupanda kwa bei za vifurushi vya intaneti kwenye mitandao mbalimbali

Kupanda kwa bei za vifurushi vya intaneti kwenye mitandao mbalimbali

Ahyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
2,310
Reaction score
5,482
Hili jambo kwa mtazamo wangu, watanzania tunaandaliwa kwa jambo kubwa lijalo hapo mbeleni, bado hatujui ni jambo gani, ila linakuja wakati ambao hatutaweza tumia mbadala wowote zaidi ya huo ujao... Ni nini..?? Mimi na wewe hatujui...

Tusubiri tuone kama je

Ni huu ujuo wa mtandao wa Musk..??
Je kuna mtu anataka kuhodhi biashara ya data yeye tu...??
 
Mi nkadhani unaongelea mbinu ya ufisadi ilotumika kupandisha bei hovyo hovyo za mabando bila ya kukemewa ili "kupiga'ela" za raia.

La "musk" ambalo hata hivyo haujalijadili na kulifafanua sura yake ya ni nini na litaanza lini ni kuutoa umma kwenye reli.

Bando kuanza kujadiliwa mwezi Jan 23 na maji ya kuzungusha umeme na kero ya upatikanaji wa maji ya kunywa kuanza kuleta taafifu Jan23, why Jan kwa mambo yote hayo?

Mambo takribani yote ya muhimu kulengeshwa kutatuliwa kwa mwezi ule ule , sisi kwa wenye macho ya jicho la3 linaloona mbali tunaona kama ni "syndicate"
 
Yote kwa yote. Hawa jamaa muda wao wa kubakia madarakani umekwisha. Tufanye jitihada waondoke na katiba mpya ndio kila kitu. Tufufue ile rasimu ya warioba tulipoishia mchakato wa katiba ndio kila kitu.

Hawa takataka wanatakiwa kwenda jela
 
Back
Top Bottom