Mi nkadhani unaongelea mbinu ya ufisadi ilotumika kupandisha bei hovyo hovyo za mabando bila ya kukemewa ili "kupiga'ela" za raia.Hili jambo kwa mtazamo wangu, watanzania tunaandaliwa kwa jambo kubwa lijalo hapo mbeleni, bado hatujui ni jambo gani, ila linakuja wakati ambao hatutaweza tumia mbadala wowote zaidi ya huo ujao... Ni nini..?? Mimi na wewe hatujui...
Tusubiri tuone kama je
Ni huu ujuo wa mtandao wa Musk..??
Je kuna mtu anataka kuhodhi biashara ya data yeye tu...??