Kupanda kwa bei za vyakula Serikali iwajibike

Kupanda kwa bei za vyakula Serikali iwajibike

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Miezi ya mwanzo wa mwaka 2023 Bila ubishi tumeona kupanda Sana kwa bei za vyakula.

Hii imekuwa wazi mno Halina mjadala kama tulivyozoea kulishwa na mamlaka husika mfano NBS wakusanya takwimu waje na takwimu ndio waseme kuna mfumuko wa bei katika bidhaa za vyakula.

Kiukweli bei zimepanda Sana za vyakula ambavyo ndio vinatumika Sana Michele, mahindi maharage nk.

Kufuatia Hali hiyo malalamiko ni mengi kwa serikali yetu. Hata watu kufikia kusema Mama Samia hazungumzi hii Hali ya kupanda vyakula.

Kimsingi hapa serikali inawajibu mkubwa na sio porojo za wanasiasa kutuambia tuna vyakula vingi. kwenye ghala la tafa.

Serikali ndio muhimbili mkuu iangalie sera zake za uangizaji mafuta na vipuri na mbinu mbalimbali za kuimarisha shilling yetu.

Pia kuwa na mipango ya muda mrefu kuwekeza katika kilimo na kuwasaidia wakulima katika kilimo na kuwapa bei nzuri .

Tupunguze Siasa viongozi watu wanaumia Sana mitaani na mfungo wa ramadhani ndio huo unakuja
 
Back
Top Bottom