Kupanda kwa deni la matibabu ya viongozi nje ya nchi ina maana tunaongozwa na viongozi wagonjwa sana?!

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,409
Reaction score
13,262


Ni viongozi gani waliotibiwa nje ya nchi kwa muda mfupi huo na kwa gharama kubwa namna hii?

 
Viongozi wetu wana magonjwa ya ajabu ajabu.
Mengine yameshaingia hadi akilini. Ndiyo maana wanaongoza kufanya mambo ya hovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliesababisha hilo deni kuwa kubwa kesha jitaja mwenyewe sasa anatafuta huruma utafikiri kaambiwa alipe anahoji eti "je ningekufa" kana kwamba kufa kwake ingekuwa pigo kwa watanzania..
 
Si huko Ulaya wapandishe bei tu washindwe kwenda! kodi iwe kubwa, kukanyaga tu Hosp iwe $ biliion 29,900,000, tuone kama wataenda tena, kama Ulaya wanatupenda kweli enhee!
vinginevyo haya Mazungu nayo mambo mengine yanatengeneza maksudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…