Second Lieutenant
Senior Member
- Jan 13, 2014
- 143
- 25
Habri za leo wana JF,
Kwa wale wote tunaofuga tunajua ni kiasi gani chakula cha kuku kimepanda na bado tunategemea chakula cha kuku kuanzia tarehe 1/10/2015 kitapanda kwa ongezeko la 18%,kutokana na hii bidhaa kwa na ongezeko la kodi (VAT).
Kutokana na garama za kuzalisha kuwa juu na bado zitaongezeka,nimejiuliza mambo mengi;
1.Bei ya Broiler na mayai itabakia 5200 kwa broiler na 7000 kwa tray ya mayai?
2.Tanzania hakuna platform or authority inayoregulate price za bidhaa?
3.Wafugaji tuna association ambayo inasimnamia maslahi ya wafugaji? Mpaka sasa imeshafanya juhudi gani katika kutetea maslahi ya mfugaji?
4.Kikao kilichofanyika Ilala club ya wazwee,matamko yake yanaweza kubadilisha bei ya broiler na mayai?Je kulikuwa na wawakilishi toka serikalini na wawakilishi wa chama cha wauza kuku masokoni kama kipo?
5.Maisha bora kwa kila mtanzania tunayapata kwa kuongeza tozo katika kila bidhaa ya kilimo na ufugaji?
Ndugu zangu naombeni tujiulize na tutafakari.