Kupanda kwa gharama za mitihani ya NECTA kuna maana gani hasa!!?

Kupanda kwa gharama za mitihani ya NECTA kuna maana gani hasa!!?

Juma WALEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
204
Reaction score
40
Wakuu naomba mnijuze mna mtazamo gan kwa hawa necta maana mimi nawachukulia kama wafanyabiashara tena ya mtu binafsi!!
 
Kama serikali ingekuwa inajali maslah ya elimu hasa kwa watu wa chini wangeangalia vizuri hasa kwenye gharama
 
Kuanzia uteuzi wa mawaziri na manaibu wake inatosha kutuambia wizara ya elimu ni banda la mama ntilie...
 
Wakuu naomba mnijuze mna mtazamo gan kwa hawa necta maana mimi nawachukulia kama wafanyabiashara tena ya mtu binafsi!!
Kuna uzi nimeuweka hapa kwenye jukwaa la elimu kuhusu hii gharama ya NECTA, mimi ninachofahamu necta ni taasisi ya serikali ambayo kazi yake ni kusimamia mitihani kwenye shule za TANZANIA, na pia huwa na bajeti yake serikalini, hilo ongezeko ambalo halijatolewa ufafanuzi kwenye vyombo vya habari ni vipi?
 
Back
Top Bottom