Kuna uzi nimeuweka hapa kwenye jukwaa la elimu kuhusu hii gharama ya NECTA, mimi ninachofahamu necta ni taasisi ya serikali ambayo kazi yake ni kusimamia mitihani kwenye shule za TANZANIA, na pia huwa na bajeti yake serikalini, hilo ongezeko ambalo halijatolewa ufafanuzi kwenye vyombo vya habari ni vipi?