kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Tayari mishahara imeshakatwa Kodi ya mapato (PAYE), hata hivyo unapokwenda kuuchua kwenye Benki ulikowekwa na mwajili wako unakatwa Kodi/tozo tena. Hili ni laana kubwa kwa watumishi wetu. Kama wanataka hivyo ni heri mshahara utolewe dirishani kama zamani ili mtumishi awe na hiyari ya kuuweka mwenyewe Benki kama akitaka au autumzie uchagoni mwa kitanda chake. Kwasasa hivi mtumishi atake asitake lazima akatwe tozo ili kuutia mikono I mwake mshahara wake kutoka kwa mwajili wake. Hii sio sawa hata kidogo, la zivyo PAYE ishuke kidogo.