Tayari mishahara imeshakatwa Kodi ya mapato (PAYE), hata hivyo unapokwenda kuuchua kwenye Benki ulikowekwa na mwajili wako unakatwa Kodi/tozo tena. Hili ni laana kubwa kwa watumishi wetu. Kama wanataka hivyo ni heri mshahara utolewe dirishani kama zamani ili mtumishi awe na hiyari ya kuuweka mwenyewe Benki kama akitaka au autumzie uchagoni mwa kitanda chake. Kwasasa hivi mtumishi atake asitake lazima akatwe tozo ili kuutia mikono I mwake mshahara wake kutoka kwa mwajili wake. Hii sio sawa hata kidogo, la zivyo PAYE ishuke kidogo.
Kiasi kinachofika mfukoni ni kidogo sana, hand to mouth. Hii maana yake ni kuwa hata viwanda tunavyohimiza vije havitaweza kustawi, kwakuwa uwezo wa wananchi wa kununua bidhaa ni mdogo sana na unazidi kupungua siku hadi siku.Tuache kulalamika bila kuchukua hatua: wanasheria wa jf waende mahakamani kupinga tozo!
Malalamiko yamekuwa mengi si tu kwa wana jf, bali hata uraiani. Ukweli ni kwamba wengi hawaungi mkono suala la tozo. Sababu kuu ni: •kutozwa kodi na tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hicho hicho kimoja. Yaani mfano mtu ni mtumishi wa umma anakatwa kodi kwenye mshahara wake, lakini mshahara huo...www.jamiiforums.com
Yaani katika ukuaji wangu na utambuzi hakuna mtu anayeishi Kama mtoto zaidi ya mfanyakazi na mkulima. Kusoma nimesoma shinikizo la ndugu Ila mie niliipenda biashara tokea nikiwa mdogo mno. Nikiwa STD 6 sifiki shule braza ananifuatilia nyuma Kama nafika shuleni.Tayari mishahara imeshakatwa Kodi ya mapato (PAYE), hata hivyo unapokwenda kuuchua kwenye Benki ulikowekwa na mwajili wako unakatwa Kodi/tozo tena. Hili ni laana kubwa kwa watumishi wetu. Kama wanataka hivyo ni heri mshahara utolewe dirishani kama zamani ili mtumishi awe na hiyari ya kuuweka mwenyewe Benki kama akitaka au autumzie uchagoni mwa kitanda chake. Kwasasa hivi mtumishi atake asitake lazima akatwe tozo ili kuutia mikono I mwake mshahara wake kutoka kwa mwajili wake. Hii sio sawa hata kidogo, la zivyo PAYE ishuke kidogo.
Uko sahihi kabisa, hakuna tajiri duniani aliyeajiliwa na mtu mwingine. Hata hivyo kaka yako hakukosea kutaka uende shule maana Mali bila daftari ni upuuzi mtupu.Yaani katika ukuaji wangu na utambuzi hakuna mtu anayeishi Kama mtoto zaidi ya mfanyakazi na mkulima. Kusoma nimesoma shinikizo la ndugu Ila mie niliipenda biashara tokea nikiwa mdogo mno. Nikiwa STD 6 sifiki shule braza ananifuatilia nyuma Kama nafika shuleni.
Mwishowe kumbe maisha Ni haya ya kupangiwa Kama mtt yaani sipendi niamke kisa nipo kifungoni Bali pale napojsiikia. Hakuna maisha yenye Uhuru jamani acheni tu. Nikijisikia kwenda popote muda wowote nasepa sio adi nikalegeze sauti Kama naomba ruhusa ya kutokuja shuleni.
I don't know Ila kwangu freedom is everything.
Mie nammaindi Mana utumwa ama kutongozwa na mtu huwa sipendi.Uko sahihi kabisa, hakuna tajiri duniani aliyeajiliwa na mtu mwingine. Hata hivyo kaka yako hakukosea kutaka uende shule maana Mali bila daftari ni upuuzi mtupu.