Kupanda kwa nauli za Mwendokasi njia ya Mbagala

Deogracious mpotwa

New Member
Joined
Feb 4, 2025
Posts
3
Reaction score
2
Serikali imekuwa ikisisitiza matumizi ya CNG badala ya dizeli kwenye magari ya umma(MWENDOKASI) kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kulinda mazingira.


Swali langu ni: ikiwa gharama za mafuta zimepungua kwa matumizi ya CNG, kwa nini nauli za usafiri wa umma(MWENDOKASI) zinaendelea kupanda au kubaki zilezile badala ya kushuka?

Je, kuna sababu nini zinazochangia hali hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…