njemba fulani
Member
- Jan 27, 2010
- 98
- 31
umeona eeh, wajuaji wengi humu alaf hawaoni hata aibu kuongea kwa confidence wasiyoyajua.Katika wote walotoa maelezo hapo Dero ndo yuko right.Nadhani kitaaluma Dero utakuwa mchumi.Sababu zilizotolewa za watu kwenda Xmass hazina mashiko.Tuache siasa kwenye mambo tusoyajua.Naomba kuwakilisha!!
wakuu simungeenda kule kwenye private? kwani mpaka muandike hapa kitu ambacho wengi hatukielewi? Ni vizuri kutumia busara kwa kila ulifanyalo.
Thanks, ila nasubiri hiyo tarehe 15 january uliyosema. ila kitu kingine ambacho ungenisaidia, mbona watu hawarepoti kama kipindi sh ikishuka? au sisi tunaombeana mabaya tu? mbona naona kama jambo la aibu kwetu waTZ? au mnaonaje?
Katika wote walotoa maelezo hapo Dero ndo yuko right.Nadhani kitaaluma Dero utakuwa mchumi.Sababu zilizotolewa za watu kwenda Xmass hazina mashiko.Tuache siasa kwenye mambo tusoyajua.Naomba kuwakilisha!!
wakuu simungeenda kule kwenye private? kwani mpaka muandike hapa kitu ambacho wengi hatukielewi? Ni vizuri kutumia busara kwa kila ulifanyalo.
Kinachotokea ni kwamba Serikali kupitia BoT ime-release fresh dollars sokoni, kawaida BoT huwauzia bank na bank huwauzia individuals na makampuni, lakini kinachofanyika sasa BoT in awauzia individuals like Bureau de change kwa rate ya chini mno, mwisho wa siku bank nao wanalazimika kushusha rate (function of supply nad demand). Lakini hiki kinachofanyika si measurement nzuri ya ku-control exchange rate kwani mara nyingi haidumu, kwani BoT ina maximum foreign reserve haiwezi kuuza USD kila siku, at the same time kati ya wale wanouziwa kwa bei rahishi kuna wengine wanazifadhi wakisubiri BoT itakopoacha kurelease more USD wao wauze kwa bei ya juu. Serikali inatakiwa imaimarishe uuzaji nje bidhaa , yaani tuwe na more export than import, hii ni njia nzuri ya ku-control exchange rate.
Ebi bishuba omu kipindi eki ila Endeleea yagamba amazima umu kipindi eki!
sasa wachumi ina maana nichukue vilaki tano vyangu bank nikanunue dolla halafu nizifungie kwenye safe huku nikisubiri mwezi wa feb niziuze?naomba ufafanuzi jamani.
The U.S. Federal Reserve, acting with five other central banks, took steps Wednesday to boost the troubled global financial system by making it cheaper for banks to trade in U.S. dollars.
The Fed --along with central banks of the eurozone, England, Japan, Switzerland and Canada --announced a coordinated plan to lower prices on dollar liquidity swaps beginning on December 5, and extending these swap arrangements to February 1, 2013. The effort is meant to "ease strains in financial markets," the Federal Reserve said in a press release.
Meanwhile, the People's Bank of China also announced a plan to increase liquidity Wednesday by lowering its reserve requirement ratio for financial institutions by half a percentage point.
U.S. stock futures surged after the announcement and European markets rose sharply.
CNN Breaking News
My take:
Dollar against TZS itashuka na hali ya uchumi wetu itapata ahueni?
nawakilisha
Ngwendu,wewe focus katka mada,wasikumbue kwa kuweka external language, Dollar imeshuka thamani kidogo sana,nahisi siyo juhudi za export bali ,bot wameona aibu,na lawama kwa mkuu wa kaya wameamua kufanya fake control ya inflation ambayo haiko sustained na export or production ya viwanda vyetu kwa umeme wa mgao uliopo..mkuu lakini umeangalia thamani ya dola juu ya currency nyingine kwa miezi miwili iliyopita kama vile Euro na Pound? Better ungekuwa na data. internet siunayo hebu bofya ndo utoe data zako hizo.
Umeleta mada nzuri ya kiuchumi lakini kwa bahati mbaya sana unaonekana kama una ajenda ya mipasho vile, kulikoni?Thanks, ila nasubiri hiyo tarehe 15 january uliyosema. ila kitu kingine ambacho ungenisaidia, mbona watu hawarepoti kama kipindi sh ikishuka? au sisi tunaombeana mabaya tu? mbona naona kama jambo la aibu kwetu waTZ? au mnaonaje?
Busara ya mtu hupimwa kwa matendo yake.wakuu simungeenda kule kwenye private? kwani mpaka muandike hapa kitu ambacho wengi hatukielewi? Ni vizuri kutumia busara kwa kila ulifanyalo.