Kupanda na kushuka kwa bei za mafuta nchini

Kupanda na kushuka kwa bei za mafuta nchini

Galaticos

Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
80
Reaction score
22
Ndugu wadau JF:

Kuna tetesi nimezisikia mitaani katika pitapita zangu kuwa kuna kigogo mmoja ambaye kila consignment yake ya mafuta inapowasili nchini bei za mafuta hupanda immediately...lakini kila inapoisha huwa zinashuka ghafla... How true is this? ...Wanaojua watuze.

Shukrani....
 
Back
Top Bottom