Kupanda Ufaulu wa form 4 ni kiini macho

Kupanda Ufaulu wa form 4 ni kiini macho

Rementsere

Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
10
Reaction score
4
Wanajamii

Sidhani kama ni kweli kiwango cha ufaulu kimeongezeka tena kwa kiwango kikubwa hivyo, mfumo uliopo sasa wa GPA ni tofauti na uliokuwepo wa divisions hivyo kiwango cha ufaulu hakiwezi linganishwa kwa usahihi.......

Pia mfumo huu watu hawajauelewa, matokeo yangekuwa yametoka kwa mfumo wa division ingekuwa rahisi kulinganisha. Huu mfumo wa GPA umewapandisha wanafunzi katika ufaulu na si kweli kuwa wanafunzi wameongeza ufaulu hii kitu haipo.........wameazimia kufikia BRN kwa lazima. Hiki ni kiini macho ndugu zangu
 
wanajamii

sidhani kama ni kweli kiwango cha ufaulu kimeongezeka tena kwa kiwango kikubwa hivyo, mfumo uliopo sasa wa GPA ni tofauti na uliokuwepo wa divisions hivyo kiwango cha ufaulu hakiwezi linganishwa kwa usahihi....... Pia mfumo huu watu hawajauelewa, matokeo yangekuwa yametoka kwa mfumo wa division ingekuwa rahisi kulinganisha. huu mfumo wa GPA umewapandisha wanafunzi katka ufaulu na si kweli kuwa wanafunzi wameongeza ufaulu hii kitu haipo.........wameazimia kufikia BRN kwa lazima. Hiki ni kiini macho ndugu zangu

You might be having a point! Ukokotoaji wa GPA unatofauti gani na dividion za zamani
 
Jamani huu ni mwaka wa Uchaguzi hivyo lolote lile lililofanyika limefanyika sababu ya mwaka wa uchaguzi
 
Hakuna cha kufaulu wala nini. Ni uwongo ili kufunika aibu ya serikali. Pewa kazi ya kufundisha hao waliofaulu utashangaa. kama hauko tayari kwa frustrations, basi ujiadae kuacha kazi.
 
wanajamii

sidhani kama ni kweli kiwango cha ufaulu kimeongezeka tena kwa kiwango kikubwa hivyo, mfumo uliopo sasa wa GPA ni tofauti na uliokuwepo wa divisions hivyo kiwango cha ufaulu hakiwezi linganishwa kwa usahihi....... Pia mfumo huu watu hawajauelewa, matokeo yangekuwa yametoka kwa mfumo wa division ingekuwa rahisi kulinganisha. huu mfumo wa GPA umewapandisha wanafunzi katka ufaulu na si kweli kuwa wanafunzi wameongeza ufaulu hii kitu haipo.........wameazimia kufikia BRN kwa lazima. Hiki ni kiini macho ndugu zangu

Ukinijibu Maswali Yangu Haya Utakuwa Umeshapata Majibu Unayoyataka.
1. Je Huu Ni Mwaka Gani?
2. Wanaoteseka Sana Na Elimu Ni Watoto Wa Masikini au Matajiri?
3. Je Wapiga Kura Wengi Wa Nchi Hii Ni Matajiri Wao au Masikini Sisi?
4. Kiwango Cha Uelewa Na Upeo Wa Wazazi au Walezi Wao Wengi Kipoje?
5. Je Masikini Huwa Anapenda Kujituma Na Ana Mwamko Wa Elimu au Anapenda Tu Slope?

Kazi Kwako Mkuu.
 
Mimi kilichonishangaza zaidi ni kuona mtu ambae hakufanya kabisa mtihani ana GPA ya 0.6 wakati aliyefanya na kupata E ktk masomo matano na F ktk masomo mawili yaliyobaki ana GPA ya 0.0
Cheki matokeo ya Bulige Sec. S2663
 
Back
Top Bottom