Kupandikiza mimba, je utaratibu wa mbegu za kiume upoje?

Kupandikiza mimba, je utaratibu wa mbegu za kiume upoje?

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam:

Sasa hii mada sijui niwekeje lakini, juzi kati nilikuta kipindi ndio kinaishia niliwaona tu kina Gerald hando na wengine wanatuonyesha chumba cha kuvunia mbegu za kiume, kwa uchache niliona kama chumba kimoja safi, self contained,TV kama inch 48" pamoja na vitu vingine.

NB:Sikuona kilainishi.

Sasa jana kuna jamaa yangu kaniuliza utaratibu ukoje haswa kwenye malipo ?

Je, wanunuzi wanaangalia nini haswa kwa yule anayepeleka mbegu zake ukitoa magonjwa ?

Naamini nitapata majibu sahihi na kutoka kwa watu sahihi.

Ahsante, Nawasilisha
 
Kama mke hawezi kushika mimba yani kizazi ni dhaifu zinachukuliwa mbegu zake na zamutu atakaye mchaguwa yeye au kama ni mme wake zinapandikizwa nje ya mfumo wa uzazi bila kufanya tendo wanapata mtoto wa mahabara.
Somo zuri ...Rekebisha hapo andika Maabara
 
Back
Top Bottom