ntingirawanyuma
Senior Member
- May 18, 2018
- 152
- 549
Mkuu naweza kupata leseni Ya maabara?Habari za majukumu wakurugwa.
Naweza badili leseni ambayo haijaisha muda wake na kupata leseni yenye daraja la juu mara baada ya kufanya mafunzo sitahiki?
Mf
Nimefanya psv naweza kwenda kubadili leseni na kupewa yenye daraja husika kwa maana ya daraja c wakati ambao leseni yangu haijaisha muda wake?
HUKU ANAONGELEA LESENI ZA UENDESHAJI WA VYOMBO VYA MOTO WEWE UNALETA LESENI YA MAABARA🤣🤣😂😂😆😆
Ahsante sana mkuu.Ndio
Ndo nataka nikasoma baada ya vyuo kufunguliwa na leseni yangu haijaisha, kwa hiyo nilitaka tu kujua mkuu.Inawezekana fika ofisi zinazohusika za Tra na polisi utasaidika.Kwani huko ulikosomea leseni ya daraja hilo hawakukupa uraratibu.Waulize
Sent using Jamii Forums mobile app
Maabara yenyewe bado inachunguzwa asubiri kwanza ripoti ya tume. Akipewa leseni feki ya maabara atamlilia nani?HUKU ANAONGELEA LESENI ZA UENDESHAJI WA VYOMBO VYA MOTO WEWE UNALETA LESENI YA MAABARA[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
Inawezekana kama hiyo uliyonayo imefikisha miaka 3 kama bado itakubidi usubirie maana lena za C hazitakubali kutokea otherwise iwe ilibadikishwa kutoka ya kitambu kuja hizi za kadi, ila kama na daraja lako la E ulianza na lena na haijafikisha miaka 3 itakusumbua.Habari za majukumu wakurugwa.
Naweza badili leseni ambayo haijaisha muda wake na kupata leseni yenye daraja la juu mara baada ya kufanya mafunzo sitahiki?
Mf
Nimefanya psv naweza kwenda kubadili leseni na kupewa yenye daraja husika kwa maana ya daraja c wakati ambao leseni yangu haijaisha muda wake?
Ahsante mkuuInawezekana kama hiyo uliyonayo imefikisha miaka 3 kama bado itakubidi usubirie maana lena za C hazitakubali kutokea otherwise iwe ilibadikishwa kutoka ya kitambu kuja hizi za kadi, ila kama na daraja lako la E ulianza na lena na haijafikisha miaka 3 itakusumbua.
Kusoma kasome na cheti ubebe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya tukutane nit ila ujue kuendesha eicher zile za mbagala na kisbo za kwenda mwanzaAhsante sana mkuu.
Ndo nataka nikasoma baada ya vyuo kufunguliwa na leseni yangu haijaisha, kwa hiyo nilitaka tu kujua mkuu.
All in all ahsante kwa kujali kaka
Una D iliozidi miaka miwili? Au E mwaka mmoja?Ahsante sana mkuu.
Ndo nataka nikasoma baada ya vyuo kufunguliwa na leseni yangu haijaisha, kwa hiyo nilitaka tu kujua mkuu.
All in all ahsante kwa kujali kaka
Ni pm nikupe mwendelezoAhsante sana mkuu.
Ndo nataka nikasoma baada ya vyuo kufunguliwa na leseni yangu haijaisha, kwa hiyo nilitaka tu kujua mkuu.
All in all ahsante kwa kujali kaka
HahahaaaaaMaabara yenyewe bado inachunguzwa asubiri kwanza ripoti ya tume. Akipewa leseni feki ya maabara atamlilia nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ni mkufunzi pale nini?Haya tukutane nit ila ujue kuendesha eicher zile za mbagala na kisbo za kwenda mwanza
Ukipata tarehe za kuanza kozi hizo hapo chuo Nit au Veta hebu rusha hapa hata Mimi nataka ku upgradeAhsante sana mkuu.
Ndo nataka nikasoma baada ya vyuo kufunguliwa na leseni yangu haijaisha, kwa hiyo nilitaka tu kujua mkuu.
All in all ahsante kwa kujali kaka
Sawa mkuuUkipata tarehe za kuanza kozi hizo hapo chuo Nit au Veta hebu rusha hapa hata Mimi nataka ku upgrade