ramadhani yusufu onyesha
New Member
- May 3, 2024
- 1
- 0
Naomba mnisaidie kitu wana jamiii forum hiv moja ya malengo yangu ni kujiunga na Jeshi kuna kitu nataka nifahamu, hiv unapoingia jeshini nini huwa wanazingatia nin ili upande cheo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ElimuNaomba mnisaidie kitu wana jamiii forum hiv moja ya malengo yangu ni kujiunga na Jeshi kuna kitu nataka nifahamu, hiv unapoingia jeshini nini huwa wanazingatia nin ili upande cheo
Statistics ya kupanda cheo🚫1. Elimu, kama huna digrii sahau nyota hata kama wewe ni duli.
2. Uzoefu, ukiwa jeshini Kwa miaka 20 utaifikia captain
3. Connection, kama una digrii na unaukoo na maboss wa kijeshi kama mabrigedia kwenda juu au unatoka familia za kina mwalimu, Hassan na ameir utakuwa unapanda Kwa kasi sana.
4. Bahati