1. Elimu, kama huna digrii sahau nyota hata kama wewe ni duli.
2. Uzoefu, ukiwa jeshini Kwa miaka 20 utaifikia captain
3. Connection, kama una digrii na unaukoo na maboss wa kijeshi kama mabrigedia kwenda juu au unatoka familia za kina mwalimu, Hassan na ameir utakuwa unapanda Kwa kasi sana.
4. Bahati