kupandishwa madaraja kwa walimu walioanza kazi 2009

Bulah

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
246
Reaction score
57
wadau kama kuna walimu wenye habari juu ya kupanda madaraja atujuze..... tuliambiwa ni mwezi huu wa nne but hakuna hata barua... huko kwenu vp????
 
Dah upande daraja la kwenda wapi????nami ni mwalim ila nakushauri ujiendeleze,,,,,kielim kuliko kutegemea hayo ma-bridge,,,,,maana hayana tija,watu wamepanda madaraja weeeee,na malipo hawapewi
 
Dah upande daraja la kwenda wapi????nami ni mwalim ila nakushauri ujiendeleze,,,,,kielim kuliko kutegemea hayo ma-bridge,,,,,maana hayana tija,watu wamepanda madaraja weeeee,na malipo hawapewi

tayari nipo chuo kikuu..... mwaka wa pili
 
Hata sie bado wanasema tusubili wiki hii ila why worry kama tuna funguo zetu mkononi? wasubiri waone nguvu ya waalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…