Kupandishwa madaraja kwa Walimu

Kupandishwa madaraja kwa Walimu

leirilwa

Senior Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
118
Reaction score
22
Habari wana JF,

Naomba kuuliza hili, Kuna hii issues ya Walimu walioanza kazi mwaka Moja kutofautiana madaraja. Unakuta mwingine yuko daraja E na mwingine yuko F.

Unakuta baadhi ya Halmashauri walimu wanapanda kwa wakati lakini zingine wanakaa miaka 5 hawajapandishwa.

Je, walimu walioanza kazi 2013 wanastahili kuwa daraja gani mpaka sasa? Naomba kueleweshwa juu ya hayo.

Natanguliza shukrani!
 
Back
Top Bottom