Kupandishwa madaraja

Kupandishwa madaraja

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
445
Reaction score
214
Naomba kuelimishwa jamani mimi ni mmoja wa walimu walioajiriwa mwaka 2011 sasa nataka kujua kupanda daraja kunakuwaje mana nishatimiza miaka mitatu lakini sijapandisha daraja na je inawezekana upanda daraja hata katikati ya mwaka ?
 
mwaka wa kwanza kazini ulikuwa probation/unasubiri kuthibitishwa.. so mwaka unaanza kuhesabiwa baada ya kuthibitishwa.. this is to say utapanda daraja mwakani mwezi wa SABA(incremental year)
 
Back
Top Bottom