Kupandwa na joto

Siri Sirini

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
547
Reaction score
199
Habarini jf doctors, me nina mwanangu wa miezi 10 anaumwa, lkn cjui kinachomsumbua, maana anapandwa na joto kali, nimempima malaria, hana, nikimpa panadol linapungua ila badae linapanda tena, doctors nisaidieni, je nimpime vipimo gani vingine, mana naogopa acje akazidiwa, nawasilisha.
 
M-check masikio, je analia sana na kushika sikio. It might be Acute otitis media. Mpe pole baby.
 
M-check masikio, je analia sana na kushika sikio. It might be Acute otitis media. Mpe pole baby.

hapana, akilia hashiki sikio, ila asa hv nimempa panadol joto limepungua, na kachangamka, asante, nitampa pole yake.
 
mcheki mkojo, kisha fungua kinywa chake angalia kama fizi zimevimba mwosheni kwa kitambaa chenye maji ya uvugvugu na chumvi kinywani huku misugua hizo fizi. at that age possibly ni uti au meno yanaota
 
Homa ina differentials nying sana dada cha maana ni kwenda kwa Paediatrician ili amuangalie na kufanya vipimo kutokana na atachokiona, shika, papasa au kusikia

always lower tempereture kwa paracetamol na tepid sponging then hurry to a paediatician

Wish a fast recovery
 
Mpeleke hospitali wakamfanyie checkup, kuna vitu vingi vinaweza kumsababishia kupandwa na joto katika umri alionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…