Kupanga jinsia ya mtoto kwa mwanamke mwenye siku zinazobadilikabadilika

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Wasalaam!

Naomba msaada kwa wadau wenye uzoefu namna ya kupanga na kupata mtoto wa jinsia flani kwa mwanamke ambaye siku zake hazipo costant, je wenzetu huko mnafanyaje?

Kwa wakubwa tu, watoto mtuache kwanza !

Karibuni,
 
Ngoja waje mm nitafuatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…