Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,880
Pipoooooooooz!!
Nna imani mu wazima,
tafadhali naomba msaada wa kupanga matokeo ya mtihan kuanzia mtu wa kwanza hadi wa mwisho,
mpaka sasa nimeshaandika randomly hayo majina 263 na alama zao kwa masomo manne, nimeweza kutafta jumla ya alama na wastani,
sasa kupanga nafasi zao ndio nashindwa ,nnatumia word Excell, window 2003 msaada tafadhali!