Unakwenda kwenye unaclick ulë mstari wajuu palë ulipoandika maneno kama Number Name Subject na Average ukisha kilick kuania namba hadi average then nebda kwenye menu bar bonyeza kwenye filiter inakuwa inaonekana picha ya filtër ukisha ibonyeza unaangalia kwenye ile row uliyoiclick mwanzo then utaona kuna drop down symbols unaclick ile ya kwenye average then utachagua sort largest to smallest zitajipanga