Kupanga matokeo kwa kompyuta.

Kupanga matokeo kwa kompyuta.

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Naomba msaada wa kupanga matokeo kuanzia mwanafunzi wa kwanza hadi wa mwisho,
nimeshaandika S/N 1-263,majina ya wanafunzi ,alama zao kwa masomo 9,
Jumla,
wastani.
Nnatumia microsoft excel,window 2003,
natanguliza shukran,
N:B ni mara ya tatu nakuja na uzi huu,
ni kwa sababu bado sijapata msaada.
 
kuna option ya ku'sum,find average, arrange ''descending or ascending order'' hebu kitafute kipo kwa juu hapo hivyo vi'icon utakiotea tu...na utadeal na hicho cha kuarange
 
ni rahisi sana tafuta jumla, wastani, kutumia kanuni then kuhusu kujua wa kwanza mpaka wa mwisho tumia huo wastani kama alivoelekeza mdau hapo juu asc or desc
 
Inahitaji process kidogo, na wala sio kutumia asc na dsnd.
Fanya hivi, tumia wastani wao, chagua mwanafunzi 1 kama sample bila kujali amepata ngapi. Kwenye cell mbele ya wasatani wake formula hii.
=RANK(A3,$A$3:A$15)
gud lucky
 
Back
Top Bottom