Maendeleo ya nchi yanapimwa kutokana na wingi wa changamoto zinazoikabili jamii ya nchi husika. Zile ambazo zimeendelea wananchi wake wananchi wake wanakuwa na changamoto chache zinazowakabili, wakati zile ambazo hazijaendelea watu wake wanakuwa na changamoto lukuki.
Je, Mungu aliwapendelea baadhi ya wanadamu na kuwapa changamoto chache na wengine akaamua kuwatwisha limlima likuuubwa ( changamoto za kila rangi)???? HAPANA .
Wingi na uchache wa changamoto kwenye jamii yoyote ni zao la mtazamo wa wanajamii kwenye kuziangalia changamoto zinazowazunguuka.
Kuna wale ambao wakiona changamoto (tatizo), basi kwa haraka sana hutafuta jinsi kutatua changamoto hiyo. Kwa upande mwingine kuna wale ambao wakipata changamoto/tatizo, basi watatafuta njia ya kuwawezesha waendelee kuishi na hilo tatizo.
Of course hiyo ndiyo tofauti iliyopo kati yetu sisi na wao. Tofauti zetu sio jambo la muhimu saana kwetu kwa sasa, ila la muhimu ni kujua ni namna gani tunaweza kuijenga jamii ya WATATUAJI wa changamoto kutoka kwenye jamii ya WAKUMBATIA changamoto?
Siogopi.